August
21 2016 ziliripotiwa habari za mama mmoja anayejulikana kwa jina la
Victoria Edward Wenga kuchoma moto maduka matatu na nyumba yake ya
kuishi katika kata ya Lemara Arusha.
Chanzo cha
mama huyo kuchoma moto ilidaiwa ni ugomvi uliokuwepo kwenye familia
kati ya mama huyo na mume wake anayejulikana kwa jina la Edward
Wenga. Habari nilizozipokea muda si mrefu Mama zinasema kwamba mama huyo
amejinyonga kwa kutumia nguo yake nakufariki dunia.
Kamanda wa
polisi Arusha Charles Mkumbo amesema alijinyonga akiwa kituo cha polisi
kama mahabusu ambapo polisi walipata taarifa baada ya mahabausu wenzake
kupiga kelele.
ConversionConversion EmoticonEmoticon