Nguvu ya mwigizaji staa wa Tanzania Wema Sepetu
kutengeneza zaidi bidhaa zenye jina lake na kuziuza kwa Watanzania
inaendelea kuonekana, ni juzijuzi tu alileta lipstick zenye jina la KISS BY WEMA.
Sasa leo August 16 2016 kupitia
millardayo.com & Ayo TV kazungumzia kuhusu bidhaa yake nyingine
ambayo hii ni ya mguuni na kuyaongea haya>>>Mimi
naweza kusema kwamba idea imetoka kwa Mama kwamba anapenda sana vitu
vya asili ukienda nyumba kwa Mama yangu utakuta viatu vyake vingi vya
kimasai na hii ni idea yake’
‘Baada
ya hapo tukaanza kutafuta Jinsi ya kutengeneza za kwetu mwisho wa siku
tukapata sample nzuri kwahiyo ni kitu ambacho nimemfanyia Mama yangu’- Wema
ConversionConversion EmoticonEmoticon