Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11.
Inaaminika
kuwa wanyama mwenye umri wa miaka 24, ambaye alijiunga na Southampton
akitokea Celtic mwezi Julai mwaka 2013 kwa pauni milioni 12.5, kwa sasa
anafanyiwa uchunguzi wa kiafya.Sasa wanyama ataungana na meneja wake wa zamani Maurico Pochettino.
ConversionConversion EmoticonEmoticon