Stori ambayo kwa sasa imechukua
headlines kwa wingi ni ile ya tetemeko la ardhi lililotokea eneo la
Umbria katikati mwa Italia na kufukia watu chini ya Vifusi.
Imeripotiwa kuwa tetemeko lilisikika
katika miji ya mbali kama vile Roma na Italia. Mji wa Roma, baadhi ya
majumba yalitikisika kwa sekunde 20. Takribani watu 122 wameripotiwa
kufariki kwenye tetemeko hilo.
Sasa hapa millardayo.com & Ayo TV imempata wakala wa Mjiolojia mwandamizi kutoka wakala wa Jiolojia Tanzania (GST), Gabriel Mbogoni kueleza sababu za Tetemeko la Ardhi.
‘Kwa kawaida Tetemeko La ardhi
linatoka Kutokana msukumo wa nguvu za asili zinazosababishwa na
mgandamizo kupelekea miamba kukatika sasa hapo ndio Ardhi imepelekea
kutikisika ndipo tunasema ndio Tetemeko la ardhi na mara nyingi uwa
inatokea kina kirefu cha Ardhi’
ConversionConversion EmoticonEmoticon