Tetemeko
la ardhi lenye nguvu ya 6.2 katika vipimo vya Richter limetikisa eneo
la Umbria katikati mwa Italia na kufukia watu chini ya vifusi.
Taasisi ya
Marekani inayohusika na matetemeko ya ardhi USGS imesema tetemeko hilo
lilitokea mwendo wa saa tisa na dakika thelathini na sita usiku saa za
Italia (01:36 GMT), 76 km (maili 47) kusini mashariki mwa mji wa
Perugia, katika kina cha 10km (maili sita) chini ya ardhi.
Imeripotiwa
kuwa tetemeko lilisikika katika miji ya mbali kama vile Roma na Italia.
Mji R wa Roma, baadhi ya majumba yalitikisika kwa sekunde 20. Takribani
watu 20 wameripotiwa kufariki kwenye tetemeko hilo.
ConversionConversion EmoticonEmoticon