Mtu wangu wa nguvu ambaye unapenda
kufahamu miji tofauti tofauti ya ndani na nje ya Afrika ilivyo, leo
August 25 nimekuletea list ya picha 16 za muonekano wa mji wa Lubumbashi
DRC Congo, kuna mengi ya tofauti na Tannzania katika mji wa Lubumbashi
ikiwemo kuna nyumba nzuri lakini maghorofa ni machache tofauti na Dar es
Salaam.
Daraja la chuma ambalo linatumiwa na raia kuvuka barabara ni sawa na lile linaloendelea kujengwa Buguruni Dar es Salaam.
Sehemu ya abiria wanaondoka Lubumbashi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luano.
Muonekano wa nyuma wa sanamu ya Rais wa zamani wa Congo mzee Kabila
Moja kati ya makanisa makubwa yaliyopo katika mji wa Lubumbashi
ConversionConversion EmoticonEmoticon