November
20, 2016 Nimepokea taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais
IKULU Tanzania kuhusu Rais John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA,
Bernard Mchomvu kuanzia leo.
Rais
Magufuli amefanya utenguzi huo ikiwa ni pamoja na kuivunja Bodi yote ya
Wakurugenzi huku taarifa ikisema kuwa uteuzi mwingine wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo utatangazwa baadaye.
ConversionConversion EmoticonEmoticon