Maamuzi ya Messi na wachezaji wenzake baada ya kuona wanakosewa heshima

Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi leo November 16 2016 baada ya ushindi wa goli 3-0 dhidi ya timu ya taifa ya Colombia ametangaza kufunga utaratibu wa wachezaji wa timu ya Argentina kufanya mkutano na waandishi wa habari baada ya kuona wamekosewa heshima muda mrefu.
Messi na wachezaji wenzake wa timu ya taifa wameamua kutoongea katika vyombo vya habari kufuatia kukosewa heshima kwa muda mrefu, hususani hawakufurahishwa zaidi na Ezequiel Lavezzi kuandikwa kuwa ameachwa kwa katika kikosi cha Argentina kwa kukutwa akivuta bangi.
screen-shot-2016-11-16-at-4-31-37-pm
“Najua kuna watu wengi sana wamekuwa wakitukosea heshima kwa kuongea maneno mengi lakini tumekuwa hatuongei kitu, kuingilia maisha binafsi ya mtu ni vibaya sana, tuhuma za Lavezzi kama hatutoongea kitu wengi wataamini kuwa ni kweli
Previous
Next Post »