Wafanyakazi wa usafi wa mazingira kutoka China wamebuni njia ambayo imeongeza ufanisi wa kazi zao za ufagiaji wa barabara. Ubunifu huo hauhitaji teknolojia kubwa sana ambapo wamefunga wamefunga mifagio 16 ya kawaida kwenye chombo ambacho kinazunguka kusaidia kufagia barabara, inaelezwa aina hii ya ufagiaji ni ya ufanisi mara 20 zaidi ya kawaida. Nimekuwekea hizi picha na video, ukishatazama usiache kuniachia comment yako.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon