Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia
songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada
Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu azaliwe).
Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D'WIKEND
CHATSHOW kinachorushwa kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya
kuwa bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(ulesbian).
Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa, kwasababu hatumii mavitu
ya gharama kama wadada wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya
bandia, na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa mjini wamekuwa
wakitumia.
Pichani msanii chemical akiwa na msanii mwezake wa bongo muvi bibie wema sepetu
ConversionConversion EmoticonEmoticon