Mastaa wa muziki ni watu ambao wanapenda kwenda na fashion kuanzia mavazi mpaka style za unyoaji. Kwa upande wa mastaa wa Nigeria tumezoea kuona wasanii kama Davido, Falz, Reekado Banks, Korede Bello, Ycee, Iyanya, Phyno, Tekno, Wizkid, Banky W na Mr. Flavour wakibadili muonekano wao wa nywele mara kwa mara.
Leo Nov 14 2016 nimezinasa picha 18 za baadhi ya mastaa hawa wa Nigeria na style zao za nywele, unaweza kuzitazama hapa chini
ConversionConversion EmoticonEmoticon