Alitoa agizo hilo hivi karibuni baada ya kupokea taarifa ya ugonjwa wa kipindupindu katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakati wa mkutano wake wa hadhara na wananchi wa kata ya Kiroka, tarafa ya Mkuyuni, wilayani humo.
Alisema moja ya chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu ni kutozingatia usafi, kunywa maji yasiyochemshwa ama kaya kutokuwa na vyoo bora na kuvitumia.
Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro, Yona Maki alisema vijiji vingi vilivyokumbwa na kipindupindu chanzo chake ni pamoja na kaya nyingi kutokuwa na vyoo bora, matumizi ya maji ya mito bila kuchemshwa ama kuwekwa dawa
ConversionConversion EmoticonEmoticon