Imekuwa kama mchezo watu kuhack akaunti
za social media za wasanii pamoja na watu wa mbalimbali. Baadhi ya watu
ambao akaunti zao za mitandao ya kijamii zilishawahi huwa hacked ni Joh
Makini, Shilole, Nuh Mziwanda Linah na wengine wengi.
Akaunti ya Linah ameipata tayari lakini
stori zilizosambaa baada ya akaunti yake kuibiwa ni kwamba, Linah aliuza
akaunti hiyo na sio kwamba iliibiwa kama alivyodai. Hii ni Exclusive
interview na AyoTv Linah akiongelea ishu hiyo.
Pamoja na hiyo kuna stori ya bifu kati
ya Godzilla na Billnass, Billnass amefunguka pia, Dogo Janja ameelezea
kuhusu remix ya wimbo wake wa My life alioufanya na Radio & Weasel
wa Uganda. Sababu za yeye kufanya nao pamoja na connection amezielezea
ConversionConversion EmoticonEmoticon