Muziki wangu ulifunikwa na kiki za mapenzi, asema rapa Tyga.



Akiwa kwenye mahojiano ya kutangaza wimbo wake mpya wa “1 of 1” Rapa Tyga ameongelea mahusiano yake na Kylie Jenner.Tyga anasema “Mahusiano yenye uwazi kama yale yalifunika sehemu kubwa ya kazi zake za muziki na dili zingine alizokuwa akifanya sababu watu waliona mambo yake ya amapenzi tu na sio kazi zake”. Tyga pia anasema yeye na Kylie bado marafiki na walikuwa pamoja kwenye kufanya video yake mpya huko Kingston, Jamaica,ilikuwa ni video ya “1 of 1.” kwa mujibu wa TMZ
Previous
Next Post »