Kiungo
wa kimataifa wa Ivory Coast ambaye anaichezea klabu ya manchester City
ya England Yaya Toure ni rasmi safari ya kuondoka katika kikosi cha Man
City imewadia hii ni baada ya ujio wa Pep Guardiola.
Leo
September 2 2016 kocha wa Man City Pep Gurdiola ameonesha dhamira ya
wazi ya kutomuhitaji Toure, hiyo ni baada ya kutoka list ya wachezaji 21
wa Man City watakaoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya msimu
2016/2017 kukosekana kwa jina la Toure.
ConversionConversion EmoticonEmoticon