VideoFUPI: Je Diamond katimiza ahadi yake?

Moja kati ya stori zilizoingia kwenye headlines siku ya February 1 2016 ni hii ya msanii wa Bongofleva na CEO wa record label ya Wasafi Classic Baby (WCB) Diamond Platnumz kuweka wazi kuwa kabla ya mwaka 2016 kumalizika atanunua gari aina ya Rolls Royce.
Kupitia account yake ya instagram usiku wa August 30 Diamond Platnumz alipost clip video ya Rolls Royce yenye kivuli cha sura yake, inawezekana Diamond akawa ametimiza ahadi yake ya kumiliki gari hilo kabla ya mwaka 2016 kumalizika, kama Diamond atakuwa kanunua gari hilo atakuwa ni mtanzania wa pili anayefahamika kumiliki Rolls Royce baada ya makamu mwenyekiti wa zamani wa Yanga Davies Mosha.
Previous
Next Post »