Usiku wa August 31 kuamkia
September 1 ndio siku ambayo dirisha la usajili kwa vilabu vya Ulaya
lilifungwa rasmi, licha ya dirisha la usajili kufungwa na kuona baadhi
ya rekodi za usajili zikivunjwa, kocha wa Man United Jose Mourinho anaripotiwa kuanza kuandaa mipango ya usajili ya msimu ujao.
Stori kutoka The Guardian na Bleacher report moja kati ya headlines ilizoamka nazo leo ni pamoja na Jose Mourinho kuhusishwa tayari kumuweka kwenye mipango yake mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Atletico Madrid Antoine Griezmann.
ConversionConversion EmoticonEmoticon