Jioni ya September 3 2016 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ndio ilihitimisha safari yake ya kuwania kucheza michuano ya mataifa ya Afrika 2017 maarufu kama AFCON,Taifa Stars iliyokuwa Kundi G lenye timu za Misri, Nigeria na Chad ambao walijitoa, imecheza mchezo wake wa kukamilisha ratiba dhidi ya Nigeria Super Eagles.
Taifa Stars ambayo ilicheza mchezo huo wa Kundi G kukamilisha ratiba sawa naNigeria, imekubali kipigo cha goli 1-0, goli ambalo lilifungwa dakika ya 77 na nyota waNigeria anayeichezea Man City ya England Kelechi Iheanacho, hiyo ni baada ya kuishambulia Taifa Stars kwa muda mrefu.
Mchezo wa kwanza wa Taifa Stars dhidi ya Nigeria ulichezw
ConversionConversion EmoticonEmoticon