Alichokiandika Davido baada ya ‘Skelewu’ kutumika kwenye movie kubwa Hollywood

 

 
 
Mkali kutoka Lagos Nigeria, Davido kupitia mtandao wake wa Twitter amefunguka namna ambavyo ameshangazwa na kufurahishwa baada ya Hit song yake ya Skelewu kutumika katika moja ya movies kubwa huko Hollywood Marekani. Movie hiyo (Qween of Katwe) ambayo amecheza Lupita N’yongo na David Oyelowo kama wahusika wakuu.
Previous
Next Post »