Rais John Pombe Magufuli aliagiza December 9 2015 iwe siku ya usafi nchi nzima, na agizo likatekelezwa kama ilivyoagizwa.
Lakini viongozi wa ngazi mbalimbali
wengine walijipangia kwamba kila baada ya muda fulani ufanyike usafi
kwenye maeneo mbalimbali…sasa leo Sept 1, 2016 Jeshi la Wananchi
Tanzania katika maadhimisho yao ya miaka 52 limeungana na Mkuu wa mkoa
wa Dar es Salaam, Paul Makonda kufanya usafi wa jiji la Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye kambi ya JWTZ Lugalo Dar es Salaam
ConversionConversion EmoticonEmoticon