Najua kuna watu wangu ni wapenzi wa Jamaican hits na nikazi yangu kukupa updates za ngoma hizi zinazotrend kwa sasa ,Trace Urban imetuletea tena list ya video kali za Jamaica kupitia Top 10 ya ambayo countdown hii imebeba jina Sound System na kila wiki huwa inazikutanisha ngoma kali za Jamaica zinazotrend sasa.
Nakusogezea countdown hiyo hapa chini mtu wangu pia usisahau kuniachia comment yako.
ConversionConversion EmoticonEmoticon