Video ya wimbo ‘Waache Waoane’ imekuwa video ya kwanza ya Chege kufikisha views milioni 1 YouTube

COVER Chege
Licha ya Chege Chigunda kufanya nyimbo nyingi kali lakini hakuwa na nyimbo ambayo video yake iliweza kufikisha views milioni 1 YouTube. Lakni video yake mpya ya wimbo ‘Waache Waoane’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz imekuwa ni video yake ya kwanza kufikisha views milioni 1 ndani ya wiki 4.
COVER Chege
Video ya wimbo uliyopita ‘Sweety sweety’ ambao alimshirikisha Runtown wa Nigeria na Uhuru wa Afrika Kusini una views 697,242 ndani ya miezi nane toka itoke.


Previous
Next Post »