Ni fahari kubwa kuona ngoma za nyumbani zinapata airtime katika vituo vikubwa vya TV za kimataifa kama Trace TV na Sound City leo August 31 2016 wasanii walioingia kwenye list hii ni Diamond Platnumz,Vanessa Mdee, Ben Pol,Joh Makini, Mayunga na chegge.
Mtu wangu nakusogezea ngoma 7 za
bongo fleva zimepewa airtime kwenye vituo hivi vikubwa vya kimataifa
pia usisahau kuniachia comment yako hapa chini mtu wangu.
ConversionConversion EmoticonEmoticon