Jay Moe ni miongoni
mwa ma rapper wa longtime kwenye tasnia ya Bongo Fleva, sasa leo ana
haya machache kwa wasanii wa kizazi kipya cha Bongo Fleva.
Staa huyo aliipa heshima millardayo.com & Ayo TV na kuyaongea>>>Sasa
hivi nahitaji wadogo zangu wanipe support mimi yaani kazi zangu ile
brand yangu ya So Famous Entertainment kwahiyo nataka hiyo Label tuipe
nguvu ili mwendelezo uwe mzuri na mimi niweze kupasi kijiti kwa mtu
mwingine’
ConversionConversion EmoticonEmoticon