Video fupi iliyovuja ya Diamond akifanya video na Neyo Marekani

Diamond Platnumz yuko Marekani kwa ajili ya show yake September 2 Los Angeles lakini pia kufanya video ya kolabo na mwimbaji star wa Marekani Neyo ambayo waliirekodi audio yake Nairobi mwaka 2015.
Kipisi cha behind the scene kilichovuja wakati Diamond na Neyo wakiifanya hiyo video unaweza kukitazama kwenye hii video hapa chini….


Previous
Next Post »