Mwanasiasa
mashuhuri nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi
amethibitisha kuwa atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa
kufanyika mwezi Novemba. Mfanyabiashara huyo na gavana wa zamani wa
jimbo la Katanga alitoa tangazo hilo kupitia kwa mitandao ya kijamii.
Muungano wa vyama kadha vya upinzani uliamua kumuidhinisha Bw Katumbi kuwa mgombea mwezi Machi.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon