Klabu tajiri katika
ligi kuu ya Uingereza zitatawala kwa miongo miwili ijayo licha ya
kufuatia ushindi wa klabu ya Leicester kulingana na mkufunzi Claudio
Ranieri.
Kikosi cha Leicester kiligharimu pauni milioni 57, kikiwa
ndicho cha bei ya chini zaidi miongoni mwa timu zilizopo katika nusu ya
kwanza ya jedwali la ligi hiyo.Fedha nyingi hujenga timu kubwa na kama kawaida timu kubwa hushinda.
Sasa tunaweza kusema ni asilimia 99, alisema Ranieri.
Ranieri alisema kwamba ushindi kama wa timu yake hutokea mara moja katika kipindi cha miaka 20 akitoa mfano wa Nottignham Forest mwaka 1978 na Blackburn Rovers 1995.
Mashabiki wa Leicester wakifurahia ushindi wa timu yao

ConversionConversion EmoticonEmoticon