• Home
  • About
  • Sitemap
  • Contact
  • Forum
MENU

JAMBOKWANZA

BE REDY TO GET LATEST NEWS IN JAMBO KWANZA

  • Features
    • Features 1
    • Features 2
    • Features 3
    • Features 4
    • Features 5
  • Blog
  • Kinky
  • Categories
    • CSS
      • Item 11
      • Item 12
      • Item 13
      • Item 14
    • Graphic design
      • Item 21
      • Item 22
      • Item 23
      • Item 24
    • Development tools
      • Item 31
      • Item 32
      • Item 33
      • Item 34
    • Web design
      • Item 41
      • Item 42
      • Item 43
      • Item 44
  • Work
    • Music
      • Recording
        • Recording 1
        • Recording 2
        • Recording 3
      • Equipment
        • Equipment 1
        • Equipment 2
        • Equipment 3
      • Distribution
        • Distribution 1
        • Distribution 2
        • Distribution 3
    • Video
      • Alpha
        • Alpha 1
        • Alpha 2
        • Alpha 3
      • Omega
        • Omega 1
        • Omega 2
        • Omega 3
      • Zulu
        • Zulu 1
        • Zulu 2
        • Zulu 3
    • Image
      • Work 1
        • Work 1
        • Work 2
        • Work 3
      • Work 2
        • Work 1
        • Work 2
        • Work 3
      • Work 3
        • Work 1
        • Work 2
        • Work 3
  • Cars
  • Fashion
  • 404
KIMATAIFA Mabalozi wakereka sherehe ya Museveni

Mabalozi wakereka sherehe ya Museveni

Unknown 2:44 AM
Unknown

 
 Museveni
Bw Museveni ameongoza Uganda tangu 1986
Wanabalozi kutoka nchi za Magharibi waliondoka kwa hasira kutoka kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni siku ya Alhamisi.
Wanabalozi hao kutoka Marekani, nchi za Ulaya na Canada waliondoka ghafla baada ya Bw Museveni kushutumu vikali Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC).
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema mabalozi hao pia walikerwa na kuwepo kwa Rais wa Sudan Omar al-Bashir kwenye sherehe hiyo.
Bw Bashir anasakwa na mahakama ya ICC kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya halaiki.
Sherehe hiyo ya kuapishwa kwa Bw Museveni, ya tano tangu achukue madaraka mwaka 1986, ilihudhuriwa na viongozi kutoka Chad, Ethiopia, Kenya, Somalia, South Africa, South Sudan, Tanzania na Zimbabwe.
Akihutubu, Bw Museveni alisema ICC ni “kundi la watu bure” na akasema haiungi mkono tena.
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Marekani Elizabeth Trudeau alisema: "Kutokana na kuwepo kwa Rais Bashir na matamshi ya Rais Museveni, ujumbe wa Marekani, pamoja na wawakilishi kutoka nchi za EU na Canada, waliondoka kutoka kwenye sherehe kuonyesha kutofurahishwa kwao (na vitendo hivyo).”
  Bashir
 
Bw Bashir anasakwa na mahakama ya ICC
"Tunaamini kwamba kuondoka kwenye sherehe ndilo jibu sahihi kwa kiongozi wa nchi anayepuuzilia mbali juhudi za kuhakikisha haki kwa waathiriwa wa mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu.”
Bi Trudeau alisema inashangaza zaidi ikizingatiwa kwamba Uganda ni taifa mwanachama wa Mkataba wa Roma, mkataba uliounda mahakama ya ICC.
Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague, Uholanzi ilitoa vibali vya kukamatwa kwa Bw Bashir mwaka 2009 na 2010 kwa makosa ya mauaji ya halaiki yanayodaiwa kutekelezwa eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan
  • Tweet
  • Share
  • Share
  • Share
  • Share

About Admin MC3

This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period.

Related Post

Next
« Prev Post
Previous
Next Post »

ConversionConversion EmoticonEmoticon

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Facebook

facebook
Featured
Most Popular
Featured

Recent

About Us

Random

Pages

  • Home

Recent

Videos

Popular

  • Hifadhi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tz
    Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyojaliwa kuwa na rasilimali na madini mengi. Na baada ya kugunduliwa kwa gesi asi...
  • Lady Jay Dee Afunga Ndoa Tena..Apost Picha Akiwa Honey Moon
    Lady Jay Dee Afunga Ndoa Tena..Apost Picha Akiwa Honey Moon
      Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa week...
  • PICHA 20: Bilioni 215 zilivyobadilisha muonekano wa Jumba la kifahari la Donald Trump
    Familia ya “Rais Mteule...
  •  Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 23, kwa ajili ya kuanza kusikilizwa
    Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 23, kwa ajili ya kuanza kusikilizwa
    Aliyekuwa askari wa Jeshi la Polisi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, Kuyani Mkunjera (36), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ...
  • Vitu vinavyosababisha kutokea kwa Tetemeko la ardhi kupelekea maafa
    Stori ambayo kwa sasa imechukua headlines kwa wingi ni ile ya tetemeko la ardhi lilil...
  • TOP 10 ya makocha wanaolipwa mishahara mikubwa duniani
    Najua mtu wang...
  • Rais Magufuli atishia kubadili noti
    September Mosi 2016 Rais Magufuli amezungumza katika mkutano wa 14 wa mwak...
  • Watu 30 wauawa kinyama mashariki mwa DRC
    Ripoti kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC zinasema kuwa wanajeshi wamepata miili ya takriban raia 30 waliouawa katika shambulizi...
  • PICHA 12: Daraja la kioo China lasitishwa kutumika baada ya siku 13
    Daraja la kioo ambalo limeelezwa kuwa liko juu zaidi liliziduliwa hivi karibuni nchini China ambapo lina urefu wa zaidi ya fu...
  • Mataifa yenye watu warefu zaidi duniani yaorodheshwa
    Utafiti mpya umeonesha kwamba wanaume wa Uholanzi ndio warefu zaidi duniani, na upande wa wanawake, wanawake wa Latvia ndio waref...

Label

  • biashara
  • BURUDANI
  • HABARI
  • KIMATAIFA
  • KITAIFA
  • MAGAZETI
  • MENGINEYO
  • michezo
  • MITINDO
  • PICHA
  • PROGRAM
  • SIASA
  • sports
  • TECHNOLOGY

Arsip

  • ▼  2016 (334)
    • ►  November (25)
    • ►  October (47)
    • ►  September (44)
    • ►  August (40)
    • ►  July (21)
    • ►  June (46)
    • ▼  May (102)
      • PICHA 10: Rais Magufuli kafungua mkutano wa makand...
      • mani ya Kombe la ASFC litakalotolewa katika mchezo...
      • kundi ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrik...
      • Mitandao yamcheka Mgombea urais Marekani Donald Tr...
      • Metro na AS wameandika siku na muda wa Man United ...
      • Mose Iyobo na Aunty Ezekiel walivyoangusha birthda...
      • Mabaki ya ndege ya Misri yapatikana
      • Kiongozi wa mkuu wa Taleban auawa
      • Iraq Yatangaza Vita Vya Kukomboa Fallujah.
      • Rais Fifa atia ubani ubingwa wa Yanga
      • Timu zote Tanga zashuka
      • Shamba la Kitulo kurejeshwa kwenye hali yake - Ser...
      • Wizara za Maliasili, Elimu, Maji kikaangoni wiki hii
      • Watford wamchukua aliyekuwa kocha Inter Milan
      • Barcelona yatwaa kombe la Mfalme
      • Manchester United washinda Kombe la FA
      • Waliorekodi video ya kujamiiana kortini leo
      • Samia: Sijawahi kupinga utumbuaji majipu
      • Simba walia usaliti kuvurunda Ligi
      • Serengeti Boys yaizima India
      • Yanga vitani Angola leo
      • Mamilioni waipongeza Leicester City
      • Costa na Mata wawachwa nje ya kikosi Uhispania
      • Man U yatinga ligi ya Europa
      • Ndege kubwa zaidi duniani yatua Australia
      • Trump: Ninaweza kuzungumza na Kim Jong-un
      • Mwanamke aunda boti lenye umbo la uke wake Japan
      • Mabalozi wakereka sherehe ya Museveni
      • Korea kaskazini 'inaihami DRCongo'
      • DC Kinondoni acharukia uchafu
      • Wabunge 53 Chadema, CUF wajitoa TWPG, kisa ‘bebi’
      • Chereko za ubingwa Yanga kufuru Taifa
      • Ulingo wa kimataifa'
      • . Wapinzani wa Simb...
      • Mitindo yashindana ukumbini na mitandaoni
      • Yanga wamkuna Pluijm
      • Jeraha lamuweka Welbeck nje kwa miezi 9
      • Je,kombe la FA litamnusuru Van Gaal?
      • Serena, Djokovic washinda
      •  
      • DC asimamisha watendaji kwa kuuza makaburi
      • Majaliwa kumwakilisha Rais mkutano wa kupiga vita ...
      • Wasindika gesi na serikali wakutana kujadili mradi
      • Simba kuwakabili 'Wanalizombe' leo
      • Sarafu ya Zambia yafanya vyema duniani
      • Coca Cola yafuta tangazo Kenya
      • Mitsubishi yakiri makosa kuhusu magari yake
      • Hans Poppe amchimba mkwara Ajib
      • Yanga yajibeba 2015/16
      • Jurgen Klopp: Nakubali nilikosea kuhusu Basel
      • West Ham walaza Manchester United
      • Mama afichua pacha wake watano Australia
      • Shambulio la bomu lawaua watu 64 Iraq
      • Serikali Yabaini tani 4,579.2 za Sukari zilizokuwa...
      • Mwanafunzi Askari Chuo cha Anga cha Jeshi la Ulinz...
      • Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 23, kwa ajili ya k...
      •                                             ...
      • TRA wapania kuvuka lengo la makusanyo
      • KESSY AMALIZANA NA YANGA, ASAINI MIAKA MIWILI SAAA...
      • HATIMAYE MAYANJA AWEKA WAZI KUHUSIANA NA WACHEZAJI...
      • BUSUNGU AVUNJIKA MBAVU
      • Dembele apigwa marufuku mechi sita
      • Jurgen Klopp ...
      •                                             ...
      •                       
      • No title
      • Bajeti wizara tatu wiki hii, imo ya Habari
      • Mzee Machano Mjomba Machano akiwa nyumbani kwake Z...
      • Rais John Magufuli ak...
      • No title
      • No title
      • No title
      •    ...
      • Mtoto mchanga atolewa kwenye vifusi Nairobi
      • No title
      • RAPID 2014: Hybrid Manufacturing Steals the Show
      • No title
      • Kids Chester Creek Keyboard USB Wired Connection L...
      • The White House Has Realized Artificial Intelligen...
      • Katumbi atangaza atawania urais DR Congo
      • MDHIBITI na Mkaguzi Mku...
      • Katibu Mkuu Wizara ya ...
      • Chelsea and Tottenham: Football Association charge...
      • Uteuzi wa Dk Rose Migiro wavuja
      • SWALI: CHADEMA inaakisi chama kilichoondolewa mada...
      • Wapenzi wa Jinsia moja wapinga ukaguzi wa 'tupu ya...
      • No title
      • No title
      • No title
      • No title
      • No title
      • No title
      • Kampuni ya Gucci imepigwa marufuku kutumia tangazo...
      • Beyonce aivaa kampuni ya mavazi iliyoiga jina lake
      • Mwili wa mwanamuziki Papaa Wemba ukiwasili nchini ...
      • AZAM YAIPA RAHA YANGA
      • Serikali yamfungia Snura, wimbo wa chura
      • 1. Cruz ajitoa mbio za urais Republican
      • Ranieri: Klabu tajiri kutawala ligi ya Uingereza
      • Rais wa zamani wa Burundi Bagaza afariki dunia
    • ►  April (6)
    • ►  March (3)
Powered by Blogger.

Ad Home

Copyright © 2014 JAMBOKWANZA All Right Reserved
Blogger Templates Created by Arlina Design Powered by Blogger